Njia 50 Za Kumfanya Mwanaume Aogope Kukupoteza.  Fidencia

Njia 50 Za Kumfanya Mwanaume Aogope Kukupoteza

Por Céline Claire, Fidencia (Traductor)

Formato: ePub  (Adobe DRM)
Protección:Adobe DRM
Disponibilidad: Descarga inmediata

Sinopsis

Hichi kitabu kinahusu jinsi ya kupunguza upatikanaji wako ili kumfanya mwanaume wako aogope kukupoteza Tafakari kuhusu hisia zako. Jiulize kwanini unataka kumpuuza mwanaume wako. Je mmegombana? Amekuwa mgumu kuzungumza na wewe? Zingatia kwanini kutenda au kutotenda kwake jambo fulani kunakuudhi. Je wewe peke yako ndiye unayewekeza juhudi kwenye mahusiano yenu? Kumbuka, kama mwanadamu mwenye uhuru, una haki ya kuumia, kuwa na hasira, kukasirika, au kupuuzwa. PUBLISHER: TEKTIME

Fidencia

  • Editorial:
  • Tektime
  • ISBN:
  • 9788835441144
  • Idioma:
  • Tamaño:
  • Kb
  • Publicado:
  • Diciembre 26, 2021
  • Familia y Relaciones
    Relaciones Familiares / General